[Speech]: HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. DOTO MASHAKA BITEKO (MB)

Tarehe : April 11, 2023
Ndugu Wageni Waalikwa, Kwa namna ya pekee sana ninamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwa kutujalia uhai na afya njema katika siku hii muhimu ambayo tumekutana kwenye tukio hili la kihistoria la kuwakutanisha Wachimbaji Wadogo wa Madini ya Viwandani na Wamiliki wa Viwanda vinavyotumia Madini hayo. Ndugu Wageni Waalikwa, Kwa dhati naomba nitumie fursa hii kumshukuru Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa miongozo yake anayoendelea kuitoa kwangu na kwa Viongozi wa Wizara katika kusimamia Sekta ya Madini nchini. Sisi kama Wizara tutaendelea kupokea na kuyafanyia kazi maelekezo yake ili kufikia matarajio ya Watanzania ya kuona Sekta ya Madini ikiboresha maisha yao na kuongeza Mchango wake hadi kufikia asilimia kumi (10) ya Pato la Taifa ifikapo Mwaka 2025.

by: madini

Latest News
Mawaziri Afrika Wajadili Madini Mkakati

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameshiriki Mkutano wa Pili wa Mawaziri wa Madini Afrika …

by: madini on: Oct. 7, 2022, 11:20 a.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

TANZANIA TO PARTAKE FOR MAIDEN TIME IN SA’S MININ…

The Ministry of Minerals informs the public and mining sector stakeholders that Tanzania, in collab…

by: madini on: Jan. 24, 2024, 7:59 p.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals