Tarehe : Aug. 30, 2022
Mheshimiwa Waziri, Awali ya yote, naomba nitumie nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kuweza kutukutanisha mahali hapa siku ya leo, tukiwa na afya njema kwa ajili ya kushuhudia ununuzi wa vipande vya madini ya tanzanite yenye sifa za kipekee ambavyo vimezalishwa katika mgodi wa mchimbaji mdogo, Bw. Anselim J. Kawishe.
by: madini
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameshiriki Mkutano wa Pili wa Mawaziri wa Madini Afrika …
by: madini on: Oct. 7, 2022, 11:20 a.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
The Ministry of Minerals informs the public and mining sector stakeholders that Tanzania, in collab…
by: madini on: Jan. 24, 2024, 7:59 p.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.