Dhamira
Kusimamia rasilimali za madini kwa ufanisi na ubora kupitia sera na mifumo ya kisheria iliyoboreshwa kwa manufaa ya Watanzania.
Dhamira na dira ya Wizara ya Madini.
Kusimamia rasilimali za madini kwa ufanisi na ubora kupitia sera na mifumo ya kisheria iliyoboreshwa kwa manufaa ya Watanzania.
Kuwa taasisi inayoongoza na yenye sifa katika kusimamia rasilimali za madini kwa mchango wa uchumi wa taifa na ustawi wa Watanzania.