[Latest Updates]: Wizara Yakutana na Kampuni Zinazokusudiwa Kujenga Vinu vya Kuyeyusha, Kusafisha Madini

Tarehe : Feb. 8, 2019, 1:18 p.m.
left

Katika jitihada za kuhamasisha shughuli za Uongezaji Thamani Madini Nchini, kuanzia tarehe 6 hadi 7 Februari, 2019, Wizara ya Madini ilikutana na baadhi ya Kampuni zinazokusudiwa kujenga Vinu vya Kuchenjua, Kuyeyusha na Kusafisha Madini nchini.

Lengo la wizara kukutana na kampuni hizo ilikuwa ni kuangalia uwezo wa kifedha, tekinolojia na Utayari wao. Kampuni hizo ni kutoka Ndani na Nje ya Nchi.

Serikali inahamasisha shughuli za uongezaji Thamani madini kufanyika nchini ili kuongeza pato, ajira na uhuishaji wa tekinolojia kwa wazawa.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals