Tarehe : June 22, 2024, 2:50 p.m.
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imefanya wasilisho la matokeo ya majaribio ya utafiti wa Jiofizikia kwa njia ya kurusha ndege yaani "Airborne Geophysical Survey" kwa kutumia Ndege Nyuki (Drone) uliofanyika Mwezi Februari 2024 katika eneo la Mererani kwenye Kitalu C na D Mkoani Manyara.
Aidha, uwasilishaji huu umefanyika mbele ya Kamishna wa Madini Dkt. AbdulRahman Mwanga na Mtendaji Mkuu wa GST Dkt. Mussa Budeda kwa nyakati tofauti ambapo uwasilishwaji wa Kitalu C ulifanyika Juni 21 na Kitalu D umefanyika leo Juni 22, 2024.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.