[Latest Updates]: Ujenzi wa Kiwanda cha Chumvi Lindi Utakaofanywa na Stamico

Tarehe : Aug. 29, 2024, 3:41 p.m.
left

Picha hizi zinaonesha muonekano wa Kiwanda cha uchakataji chumvi ghafi ambacho kinajengwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kutatua changamoto ya upatikanaji wa soko wa chumvi ghafi inayozalishwa nchini.

Maandalizi ya ujenzi wa Kiwanda cha chumvi cha mfano kwa ajili Wachimbaji wadogo yanaendelea ambapo hadi sasa mtambo wa kuchakata chumvi unaendelea kutengenezwa nchini India. 

Kiwanda hichi cha kuchakata chumvi ghafi kitajengwa katika Wilaya ya Kilwa,Mkoani Lindi.

Ujenzi unatarajiwa kuanza mwezi Septemba, 2024.

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake katika mikoa ya kusini mwaka 2023 aliielekeza STAMICO kupitia Wizara ya Madini kuhakikisha inasaidia upatikanaji wa soko la chumvi ghafi inayozalishwa na wazalishaji wa ndani.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals