Tarehe : Sept. 21, 2020, 11 a.m.
Waziri wa Madini, Doto Biteko amepongeza utendaji kazi wa Tume ya Madini uliopelekea kuvuka kwa lengo la ukusanyaji wa maduhuli kwa mwaka wa fedha 2019 – 2020.
Waziri Biteko ametoa pongezi hizo leo tarehe 21 Septemba, 2020 kwenye ziara yake katika banda la Tume ya Madini kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayoendelea katika Uwanja wa Kituo cha Uwekezaji cha Bomba Mbili mjini Geita.
“Nashukuru na kuwapongeza sana kwa kazi nzuri mnayofanya katika kuhakikisha Serikali inavuka lengo kwenye ukusanyaji wa maduhuli,” amesema Waziri Biteko.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.