[Latest News]: TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI MADINI - TGC

Tarehe : May 29, 2024, 12:45 p.m.
left

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI MADINI - TGC

Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) kinatoa mafunzo ya kuongezaji thamani madini katika fani mbalimbali. Kituo kimesajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa namba ya usajili REG/SAT/033 kutoa mafunzo kuanzia NTA Level 4-6 na NVA Level I-III.

KOZI ZINAZOTOLEWA:

1. Ordinary Diploma in Gem and Jewellery Technology (NTA Level 4-6)

   - Sifa za Kujiunga: Kidato cha nne mwenye ufaulu wa masomo manne (4) kuanzia daraja D

   - Muda: Miaka 3

   - Kuanza: Septemba 2024

2. Usanifu na Utengenezaji Vito (Jewellery Design and Manufacturing)

   - Sifa za Kujiunga: Mtu yeyote mwenye nia ya kujifunza kubuni na kuzalisha bidhaa za usanifu

   - Muda: Miezi 6

   - Kuanza: 3 Juni, 2024

3. Usonara (Introduction to Jewellery Making)

   - Sifa za Kujiunga: Mtu yeyote mwenye nia ya kujifunza utengenezaji wa bidhaa za usonara

   - Muda: Miezi 3

   - Kuanza: 3 Juni, 2024

4. Ukataji na Ung'arishaji wa Madini ya Vito (Lapidary)

   - Sifa za Kujiunga:* Mtu yeyote mwenye nia ya kujifunza ukataji na ung'arishaji wa madini ya vito

   - Muda: Miezi 6

   - Kuanza: 3 Juni, 2024

5. Sanyansi ya Madini ya Vito (Gemology)

   - Sifa za Kujiunga: Mtu yeyote mwenye nia ya kujifunza sayansi ya madini ya vito

   - Muda: Miezi 6

   - Kuanza: 3 Juni, 2024

6. Utambuzi wa Madini ya Vito (Gem Identification)

   - Sifa za Kujiunga: Mtu yeyote mwenye nia ya kujifunza utambuzi wa madini ya vito

   - Muda: Miezi 3

   - Kuanza: 3 Juni, 2024

7. Utambuzi wa Madini Feki na Madini ya Vito Yaliyoongezwa Ubora (Synthetic & Treated Gemstone Identification)

   - Sifa za Kujiunga: Mtu yeyote mwenye nia ya kujifunza utambuzi wa madini feki na madini ya vito yaliyoongezewa ubora

   - Muda: Mwezi 1

   - Kuanza: 3 Juni, 2024

8. Uthaminishaji wa Madini ya Vito (Coloured Gemstone Grading and Pricing)

   - Sifa za Kujiunga: Mtu yeyote mwenye nia ya kujifunza uthaminishaji wa madini ya vito

   - Muda: Mwezi 1

   - Kuanza: 3 Juni, 2024

 

9. Uthaminishaji wa Almasi (Diamond Grading and Pricing)

   - Sifa za Kujiunga: Mtu yeyote mwenye nia ya kujifunza uthaminishaji wa almasi

   - Muda: Mwezi 1

   - Kuanza: 3 Juni, 2024

---

NAMNA YA KUOMBA:

1. Fomu za Maombi:

   - Zapatikana katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC), Wizara ya Madini na Ofisi zote za Madini au tembelea tovuti za [www.tgc.ac.tz](http://www.tgc.ac.tz) na [www.madini.go.tz](http://www.madini.go.tz).

2. Malipo ya Ada ya Maombi:

   - Tsh 10,000/- kupitia namba ya kumbukumbu kutoka Kituoni. Malipo yanaweza kufanywa katika matawi ya benki (NMB au CRDB).

3. Kutuma Maombi:

   - Tuma maombi yako pamoja na viambatanisho kwa: 

     Mratibu, Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC), 

     S.L.P 119, 

     ARUSHA.

4. Kuomba Mkopo:

   - Wanafunzi watakaodahiliwa ngazi ya Ordinary Diploma wanaweza kuomba mkopo kupitia [www.heslb.go.tz](http://www.heslb.go.tz) na [www.nactvet.go.tz](http://www.nactvet.go.tz).

---

Kwa Mawasiliano Zaidi:

- Simu: 0737816121

- Barua pepe: tgc@madini.go.tz

Kumbuka: Nafasi ni chache, madarasa yanachukua wanafunzi wachache. Wanawake watapewa kipaumbele.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals