[Latest Updates]: Aliyoyasema Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo

Tarehe : Jan. 10, 2022, 3:03 p.m.
left

Ninatarajia kuona nyuso za walimu wengi na nitakuwa mwanafunzi mtiifu ili twende pamoja nawaona wana kiu ya kumfundisha mwanafunzi.

Ninaaamini kwamba tutashirikiana maana ndiyo silaha, kusaidiana kuheshimiana na kutekeleza majukumu kwa wakati. Nikupe tumaini Mhe. Waziri nitajitahidi kwa yale ambayo utaniongoza kuyafanya na kuwa kiungo kutoka juu na chini. Nitakuwa mtiifu na mfuatiliaji.

Namshukuru Mhe. Rais kwa kuniamini namuomba Mungu anisaidie nisiiangushe ndoto yake, ninamuomba Mungu kwa ushirikiano  wote aifanye wizara kutoa kile ambacho jamii inataka .

Hata mimi nillikuwa na matarijio makubwa na wizara na TRA tuliiona Wizara ya Madini kama bado kuna potential ambazo bado hazijawa utilized.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals