[Latest Updates]: Aliyoyasema Rais wa Chama cha Wachimbaji wa Madini Tanzania (FEMATA), John Bina

Tarehe : Feb. 22, 2022, 11:43 a.m.
left

Tuliomba masoko na mitaji tumeshuhudia utekelezaji wake, masoko yameongeza tija  kutokana na kuondolewa tozo zisizo rafiki, tunashukuru kumekuwa na ongezeko la wachimbaji wadogo, sasa wachimbaji wanachangia karibu asilimia 40 kwenye Pato la Taifa.

Bado kuna changamoto ambazo zinakwamisha maendeleo ya wachimbaji wadogo na wadau wengine katika sekta ya madini, changamoto tuliyonayo ya kwanza ni mitaji ya kuendesha shughuli za uzalishaji  wa madini.

Tumekua na mazungumzo na mabenki mbalimbali yameonesha nia ya kutukopesha wachimbaji wadogo lakini kiuhalisia wanakopesha zaidi wafanyabiashara wa madini na siyo wachimbaji.

Tunaomba uanzishwe mfuko wa uendeshaji kwa wachimbaji wadogo usaidie kuwapa mitaji.

Tunaomba umeme kwenye maeneo ya migodi

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals