[Latest Updates]: Waziri Mavunde Akutana na Balozi wa Hispania Nchini

Tarehe : Oct. 27, 2023, 5:48 p.m.
left

Waziri wa Madini, Mhe.  Anthony Mavunde leo Oktoba 27, 2023 amekutana na Balozi wa Hispania nchini Tanzania, Mhe. Jorges Moragas ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuendeleza ushirikiano baina ya Tanzania na Hispania hususan katika Sekta ya Madini  ambapo wamejadiliana kuongeza ushirikiano katika eneo la utafiti wa kina wa madini.

Katika kikao hicho, Waziri Mavunde amemweleza Balozi Moragas kuhusu Vision 2030: Madini ni Maisha na Utajiri na kwamba Serikali imepanga kufanya utafiti wa kina wa miamba ili kuwa na kanzidata ya kutosha kuhusu maeneo yenye rasilimali madini sambamba na kufungamanisha na sekta zingine zikiwemo za Kilimo, Maji, Afya, Biashara pamoja na uchumi kwa ujumla.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals