Tarehe : May 29, 2024, 1:01 p.m.
TAFADHALI PAKUA FOMU HAPO CHINI.
NAMNA YA KUOMBA:
1. Fomu za Maombi:
- Zapatikana katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC), Wizara ya Madini na Ofisi zote za Madini au tembelea tovuti za [www.tgc.ac.tz](http://www.tgc.ac.tz) na [www.madini.go.tz](http://www.madini.go.tz).
2. Malipo ya Ada ya Maombi:
- Tsh 10,000/- kupitia namba ya kumbukumbu kutoka Kituoni. Malipo yanaweza kufanywa katika matawi ya benki (NMB au CRDB).
3. Kutuma Maombi:
- Tuma maombi yako pamoja na viambatanisho kwa:
Mratibu, Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC),
S.L.P 119,
ARUSHA.
4. Kuomba Mkopo:
- Wanafunzi watakaodahiliwa ngazi ya Ordinary Diploma wanaweza kuomba mkopo kupitia [www.heslb.go.tz](http://www.heslb.go.tz) na [www.nactvet.go.tz](http://www.nactvet.go.tz).
---
Kwa Mawasiliano Zaidi:
- Simu: 0737816121
- Barua pepe: tgc@madini.go.tz
Kumbuka: Nafasi ni chache, madarasa yanachukua wanafunzi wachache. Wanawake watapewa kipaumbele.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.