Tarehe : Dec. 12, 2023, 2:48 p.m.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo leo Desemba 12, 2023 amewatembelea na kutoa pole kwa Wananchi walioathiriwa na maporomoko ya tope na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara.
Katika ziara hiyo, amepokelewa na Uongozi wa Mkoa ukiwakilishwa na Bi. Caroline Mthapula na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hanang Bi. Rose Kamili pamoja na timu ya Wataalam wa Wizara ya Madini ambao wamekuwa kwenye eneo hilo kutafiti chanzo cha tatizo hilo na kutoa taarifa ya kitaalam.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.