Tarehe : March 25, 2020, 10:10 a.m.
Wizara ya Madini tarehe 23 na 24 Machi, 2020, ilikutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Jijini Dodoma ambapo iliwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu na Bajeti ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.
Akiwasilisha taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila alibainisha baadhi ya mafanikio ya wizara kuwa ni pamoja na;
Akizungumzia Taarifa ya Masoko ya Madini alieleza kuwa,
Akitaja sababu za kufikiwa kwa Mafanikio hayo ya uendeshaji na Usimamizi wa Masoko Prof. Msanjila alisema;
Kufikiwa kwa malengo ya ukusanyaji wa maduhuli kwa kipindi husika kumetokana na juhudi zifuatazo:
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.