[Press Release]: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA TAASISI YA JIOLOJIA NA UTAFITI WA MADINI TANZANIA (GST)

Tarehe : Aug. 31, 2022, 11:18 a.m.
left

 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MADINI

 
 

 

Telegramu "MADINI".                                                                    Mji wa Serikali-Mtumba,

Simu: + 255-26 2320456                                                             S. L. P. 422,

Baruapepe : ps@madini.go.tz                                                   41207 DODOMA.

                                   

 

 

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA TAASISI YA JIOLOJIA NA UTAFITI WA MADINI TANZANIA (GST)

 

 

Dodoma - Agosti 30, 2022

 

            Kwa Mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa Kanuni ya 3 (1) (b) (c) (d) na (e) ya Kanuni za Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) za mwaka 2018, Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 30 Agosti, 2022:

 

  1. Mhandisi Yahya Ismail Samamba.
  2. Dkt. Abdulrahman Shaban Mwanga.
  3. Bi. Bertha Ricky Sambo.
  4. Bw. Costantine Anthony Mashoko.
  5. Dkt. Dalaly Peter Kafumu.

 

                                                 Imetolewa na:

Adolf H. Ndunguru

KATIBU MKUU

 

 

 

 

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals