[Latest Updates]: Waziri Biteko kujadili Mikakati ya kuboresha Biashara ya Madini na Minada ya Vito

Tarehe : June 13, 2023, 9:51 a.m.
left

Leo Juni 12, 2023 Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko jijini Dodoma, amekutana na  Wakuu wa Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Madini kwa lengo la kuangalia namna bora ya kusimamia biashara ya madini hususan ya tanzanite na mengine ya vito sambamba na kuweka mikakati  ya kutangaza madini hayo  duniani.

Viongozi wengine wa Wizara waliohudhuria katika kikao hicho ni pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, Wakuu wa Taasisi,  Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Madini, Tume ya Madini, Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) na  Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI).

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals