[Latest Updates]: Wamiliki wa Migodi Watakiwa Kuzingatia Masharti ya Leseni

Tarehe : Oct. 11, 2023, 4:35 p.m.
left

Wamiliki wa Migodi ya Uchimbaji Madini nchini wametakiwa kuzingatia masharti ya Leseni za Uchimbaji Madini pamoja na kulipa fidia kwa wakati.

Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu  , Wizara ya Madini Msafiri Mbibo Oktoba 10 ,2023 alipotembelea Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Singida.

Akiwa katika Mgodi wa Shanta Naibu Katibu Mkuu Mbibo ,aliutaka mgodi huo kuzingatia taratibu za Ushirikishwaji Jamii  sehemu za Migodi (Local Content)  pamoja na Wajibu wa Kampuni kwa Jamii (CSR) kama vile  kurudishaji faida kwa jamii inayozunguka mgodi 

Katika ziara hiyo Naibu Katibu Mkuu , ametembelea Mgodi wa Shanta wa Uchimbaji Madini ya Dhahabu  unaomilikiwa na Kampuni ya Shanta Gold Mine.

Ziara hiyo ya kikazi yenye lengo la kujionea maendeleo ya sekta ya Madini mkoani Singida Naibu Katibu Mkuu aliambatana wataalam kutoka Wizara ya Madini.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals