Tarehe : June 30, 2019, 5:29 a.m.
Leo tarehe 30 Juni, 2019 Tume ya Madini kwa kushirikiana na wadau wa madini imeendelea na utoaji wa elimu katika Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba kwa mwaka 2019 yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Taasisi za Serikali zinazoshiriki katika banda la Tume ya Madini ni pamoja na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) na Mpango wa Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji katika Masuala ya Madini na Gesi Asilia (TEITI).
Kampuni za madini zinazoshiriki katika Banda la Tume ya Madini ni pamoja na Williamson Diamonds Limited, Shanta Mining Co. Limited, Geita Gold Mining Limited, TANSHEQ, Marmo & Granito Mines (T) Limited na Afro Gems Limited.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.