Tarehe : June 19, 2018, 11:53 a.m.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Prof. Shukrani Manya na Afisa kutoka Wizara ya Madini Mhandisi Siri Boga wanaiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa Kimberley Process unaofanyika mjini Antwerp, nchini Ubeligiji.
Mkutano huo huhudhuriwa na wanachama wa Umoja wa Kimberley Process ambao unahusisha mataifa ya Kiraia, Serikali na kampuni zinazojishughulisha na uzalishaji na watumiaji wa madini ya almasi.
Mkutano huo umefanyika kuanzia tarehe 18-22 Juni 2018.
Na Asteria Muhozya
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.