Tarehe : Oct. 1, 2018, 7:45 a.m.
Na Greyson Mwase,
Leo tarehe 20 Septemba, 2018 mjini Musoma mkoani Mara, Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wamekutana na Wakuu wa Wilaya, Kamati ya Ulinzi ya Mkoa wa Mara, Watendaji kutoka Wizara ya Madini kwa ajili ya kujadili taarifa iliyowasilishwa na Kamati iliyoundwa kwa ajili ya kuchunguza matumizi ya mfuko wa North Mara Trust Fund kabla ya kutoa maelekezo ya Serikali.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.