Tarehe : Dec. 20, 2023, 8:57 a.m.
MAKATIBU WAKUU MADINI, VIWANDA WATEMBELEA TEMDO
Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah Desemba 20, 2023 walitembelea Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO ).
Ziara hiyo ya TEMDO iliyofanyika Mkoani Arusha ililenga kujifunza na kuangalia mitambo mbalimbali inayotengenezwa na TEMDO kwa ubunifu na gharama nafuu ikiwemo vifaa tiba vinavookoa fedha nyingi kwa kuagiza vifaa hivyo nje ya nchi.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.