[Latest Updates]: Waziri Mavunde Amuagiza Kamishna Madini Kutuma Timu Kukagua Usalama Shughuli za Uchimbaji Shinyanga

Tarehe : June 23, 2024, 2:55 p.m.
left

Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde akiwa na watendaji wa Wizara ya Madini na Viongozi wa Nkandi Gold Mine wa Wilayani Kahama-Shinyanga kwenye kikao cha usuluhishi baina  ya wamiliki wa duara Na. 7 na 8.

Katika kikao hicho Waziri Mavunde amemuagiza Kamishna wa Madini Dkt. Abdulrahman Mwanga kutuma Timu kukagua usalama wa shughuli za uchimbaji katika maduara hayo kabla hajatoa uamuzi wa mwisho wa kutatua mgogoro wa muingiliano uliopo baina ya wamiliki wa maduara hayo.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals