Tarehe : Feb. 15, 2024, 8:44 a.m.
Leo Februari 15, 2024 Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya KUDU Graphite **Ndg . Phil Hoskins ** ambao wanafanya uwekezaji katika uchimbaji wa madini ya Kinywe katika mkoa wa Lindi, mazungumzo hayo yamefanyika leo Jijini Dodoma katika Ofisi za Wizara ya Madini.
#VISION2030:MadiniNiMaishaNaUtajiri
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.