[Latest Updates]: Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Afurahishwa na Umoja wa Vijana Wachimbaji wa Madini Tanzania (Tanzania Youth in Mining)

Tarehe : Aug. 11, 2024, 4:19 p.m.
left

 Zanzibar 

Rais wa Zanzibar Mhe Dr. Hussein Mwinyi amefurahishwa Sana Tanzania Youth in Mining (Umoja wa Vijana Wachimbaji wa Madini Tanzania) katika Mkutano Uliowakutanisha Vijana kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Mkutano huo ni kilele cha Siku ya Vijana  Duniani ambapo huanza tr 10-12 Agosti kila mwaka. 

Ameyasema hayo tar Agosti 10, 2024 kwenye mkutano huo ulifanyika Zanzibar Beach Resort kaika ukumbi wa Karume baada ya pata Maelezo mazuri yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Tanzania Youth in Mining , Khamis Mohamed alipotembelea Banda Vijana Wachimbaji wa Madini na kupata maelezo ya namna Vijana wanaweza kutoa mchango mkubwa kwa Taifa kupitia sekta ya madini. 

Aidha Mhe Rais Mhe Dr.Hussain Mwinyi amwewataka Vijana kufanya kazi na kuwa mchango mkubwa katika maendeleo ya Nchi, na kusistiza kuwa Vijana ndio Nguvu kazi ya Taifa lolote Duniani. 

Naye, Mwenyekiti wa Vijana Wachimbaji wa Madini Tanzania amemshukuru Mhe Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka nguvu kubwa Vijana katika sekta ya madini.

Pia Mwenyekiti wa Vijana Wachimbaji wa Madini Tanzania Anamshukuru Waziri wa Madini Mhe Anthony Mavunde kwa kuja na Dira yenye tija ya MADINI NI MAISHA NA UTAJIRI Ambayo nimefungua milango ya wachimbaji wengi, na Mradi wa Vijana na wanawake, Mining for Brighter Tommorow (MBT) ambao ndio Ufungo wa uchumi kwenye Sekta ya Madini. 

Mkutano huo uliandaliwa na Global Youth institute na umekuwa na Mafanikio makubwa hasa Tanzania Youth in Mining kwani ndio Banda pekee lililokuwa na Utofauti wa  Uhitaji wa Vijana kwa kwenye za uchumi. 

 #MiningforBrighterTomorro

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals