Tarehe : Feb. 22, 2022, 11:38 a.m.
Kupitia mikutano hii, wachimbaji wanapata suluhu
Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini ni wazo lililobuniwa na Wizara ya Madini mwaka 2019 kwa lengo la kuwa na jukwaa la pamoja la kubadilishana uzoefu na kutambua fursa zilizopo na kupendekeza namna bora zaidi ya nchi inavyoweza kunuifaka na utajiri wa rasilimali zake.
Mhe. Makamu wa Rais tumepata mwitikio mkubwa wa wadau kushiriki mkutano huu, zaidi ya washiriki 1200 wamehudhuria kutoka ndani na nje ya nchi hii.
Katika mikutano iliyopita, tulijadili kwa uwazi changamoto za wadau wa madini hapa nchini na kuzipatia ufumbuzi.
Kupitia jukwaa hili, wachimbaji waliweza kupata suluhu kwa baadhi ya tozo za kodi ambazo zilikuwa zinatozwa kwenye maeneo mbalimbali na kuathiri ustawi wao.e wa Afrika tunayo ya kujifunza.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.